Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Ayatollah al-Udhma Subhani alifika katika makazi ya Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani na kumtembelea Marja’ huyu wa taqlid ambaye kwa sasa anajisikia nafuu baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini.

Ayatollah al-Udhma Subhani amtembelea Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani kwa ajili ya kumjulia hali yake
Ayatollah al-Udhma Subhani alifika katika makaazi ya Ayatollah al-Udhma Nuri Hamedani na kumtembelea Marja’ huyu wa taqlid kwa ajili ya kumjulia hali yame.
Maoni yako